Psalms 106:21-22


21 aWalimsahau Mungu aliyewaokoa,
aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri,

22 bmiujiza katika nchi ya Hamu
na mambo ya kutisha huko Bahari ya Shamu.
Copyright information for SwhKC